CHA MLINZI KULA KUKU NA MAYAI YAKE.

3
191

katika maadili ya kiafrika hususani ya kipokomo ni makosa na laana kula kuku na mayai yake na mara nyingi mhusika hushtakiwa au kutolewa kijijini kwa kuleta bahati Mbaya na kutengwa na wanakijiji huwa¬† ndo nidhamu hafifu inayochukuliwa na wanakijiji wenza….. Ila miondoko ya Leo na kuigiza tamaduni za wababe zimeleta umomonyoko wa tabia njema za kiafrika na dhihaka kwa tamaduni za kipokomo.

Kisa hiki cha mlinzi kula kuku na mayai yake kilitokea katika eneo la mwangaza mjini Hola katika Kaunti ya tana river. Mhusika aliekua Baba mtu alishikwa katika Hali isiyopinginga na shemeji yake Aliekua ametembelea dadake bila kuwapa habari kua atafika.

Kulingana na shemeji huyo mwanamke aliyehojiwa na mapaparazi wetu mama mzazi alikua na habari kuhusu uhusiano wa mwanawe na mumewe. Kisa hiki kilishikisha bumbuanzi wakaaji wa eneo hilo kwani ni tukio la haya Sana kwa baba mtu kula uroda na mwanawe na ni kiangazi tosha jinsi jamii ya leo ilivyopotoka.

See Also:  IT'S CONDOMS FOR FLOODS VICTIMS.

Kulingana na habari tuliyoipokea shemeji huyu mwanamke alizirai alipowakuta wapenzi hawa wakijisabahi bila uoga wala haya [baba na bintiye]. Mwanamke huyu aliyejawa na hasira baada ya kurudi kwa fahamu zake za kawaida alipiga mayowe makali yaliyovutia majirani walioachwa mdomo wazi. Wapenzi Hao wawili walivaa nguo na kujipa shugli ni kama hakuna kubwa lililotokea na kutoka chumbani.. Cha kushangaza wengi ni kua licha ya mama mzazi kujua uhusiano huo hakuthubutu kumfokea mumewe kwani alikua anaogopea ndoa yake isiporomoke ndiposa hata baada ya dadaake kumuvitiya waya amupashe yaliyo jikoni Dada huyu alijipata taabani kwani aliambiwa akae mbali na mambo ya wenyewe na dadake wa damu aliemuonya aache kuvunja ndoa na tiari ashajua kuhusu uhusiano huo.

Kulingana na wanasambusa wetu wa kila mtu afanye kazi yake usabasi group, yasemekana mwanadada huyo ambae ako chuo cha pili aliomba uhamisho wa kishule toka shule ya Kaunti jirani hadi Hola apate kua karibu na mpenzi wake ambae pia alikua baba yake mzazi.

See Also:  Thirteen Narrowly Escape Death As One Goes Missing In Mnazini

Endapo unausabasi wowote usichelewe kuurusha kupitia kwa whatsap kwenye nambari 0727787432.

3 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here